Kocha Jurgen Klopp amesema kwamba Liverpool bado iko sokoni kwa ajiili ya kusaini wachezaji wapya, lakini amebainisha hawatatumia kiasi kikubwa cha fedha. Klopp ...
Callum Hudson-Odoi anatarajia kusaini mkataba mpya wa miaka mitano na Chelsea, kwa mujibu wa ESPN FC. Mshambuliaji huyo kinda yupo kwenye mwaka wake ...
Bondia raia wa Urusi, Maxim Dadashev, amefariki dunia baada ya pambano lake na Subriel Matias kumsababishia majeraha makubwa ya ubongo. Dadashev mwenye miaka ...
Arsenal inakaribia kuthibitisha kumsajili kwa mkopo kiungo wa Real Madrid, Dani Ceballos. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Hispania chini ya umri wa miaka ...
Nyota wa Juventus, Cristiano Ronaldo, hatakabiliwa na shtaka lolote baada ya kutuhumiwa na madai ya unyanyasaji wa kingono, waendesha mashtaka wa Marekani wamesema. ...
Kocha wa Juventus, Maurizio Sarri ameitaka klabu yake kumsajili nyota wa klabu ya Tottenham Hotspurs, Danny Rose. Sarri amewaambia waajiri wake hao wapya ...
Klabu ya Juventus itakubali kumuuza mshambuliaji wake, Paulo Dybala kwa Manchester United katika kipindi hiki cha majira ya joto endapo mahitaji yao yatafikiwa ...
Serikali ya Saudia Arabia imeikabidhi msaada wa tende tani 100 Serikali ya Zanzibar kwa ajili ya kuwapatia wananchi mbalimbali wa visiwani humo Zanzibar. ...