Makala

Nchi ambazo Mtanzania Anakwenda bila ya Viza

0
Mtanzania Anakwenda bila ya Viza
Safari

Baada ya Serekali ya Tanzania kuzindua mpango wake mpya wa kuanza kutoa Pasipoti za Kielektroniki, ili kuboresha usalama zaidi katika nyaraka zakusafiria, Pasipoti hizo hutumia chip ambayo huongeza usalama.

Soma pia:

Tumeona ni vyema tukusogezee orodha ya nchi 57 ambazo Mtanzania mwenye pasipoti ya kawaida anaweza kusafiri ama kutembea bila ya kuomba viza;

NchiMasharti ya VizaMuda
Antigua and Barbuda Huhitaji kuomba viza
Bahamas Huhitaji kuomba vizaKwa muda wa miezi 3
Bangladesh Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 90
Barbados Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 6
Belize Huhitaji kuomba viza
Benin Huhitaji kuomba viza
Bolivia Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 90
Botswana Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 90
Burundi Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 3
CambodiaViza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 30
Cape Verde Viza unapata utakapowasili
Comoros Viza unapata utakapowasili
Democratic Republic of the CongoViza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 7
Djibouti Viza unapata utakapowasili
DominicaHuhitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 6
Ecuador Huhitaji kuomba vizaKwa muda wa siku 90
Fiji Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 4
Gambia Huhitaji kuomba viza
Ghana Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 30
Guinea-Bissau Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 90
Haiti Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 3
Indonesia Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 30
Iran Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 30
Jamaica Huhitaji kuomba viza
Kenya Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 30
Laos Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 30
Lesotho Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 90
Madagascar Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 90
Malawi Huhitaji kuomba vizaKwa muda wa siku 90
Malaysia Huhitaji kuomba vizaKwa muda wa siku 30
Maldives Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 30
Mauritania Viza unapata utakapowasili
Mauritius Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 90
Micronesia Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 30
MozambiqueHuhitajiki kuomba viza
Namibia Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 3
NepalViza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 90
NicaraguaViza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 30
Palau Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 30
Philippines Huhitaji kuomba vizaKwa muda wa siku 30
Rwanda Huhitaji kuomba vizaKwa muda wa miezi 6
Saint Kitts and Nevis Huhitaji kuomba vizaKwa muda wa miezi 3
Saint Lucia Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa wiki 6
Saint Vincent and the GrenadinesHuhitaji kuomba viza Kwa muda wa mwezi
Samoa Viza unapata utakapowasiliKwa muda wa siku 60
Seychelles Kibali cha utalii utapata utakapowasiliKwa muda wa miezi 3
SingaporeHuhitaji kuomba vizaKwa muda wa siku 90
South Africa Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 90
South Sudan Viza unapata utakapowasili
Swaziland Huhitaji kuomba vizaKwa muda wa siku 30
Timor-Leste Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 30
Togo Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siiku 7
Tuvalu Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa mwezi 1
Uganda Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 3
Vanuatu Huhitaji kuomba vizaKwa muda wa siku 30
Zambia Huhitaji kuomba vizaKwa muda wa siku 30
Zimbabwe Huitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 3

Comments

Comments are closed.

More in Makala