Top Stories

Uzinduzi wa Reli mpya ya kisasa Standard Gauge Dodoma

0

Shirika la Reli Nchini Tanzania  (TRC) linapenda kuwakaribisha wananchi wote katika tukio la kihistoria la kuweka jiwe la msingi la Ujenzi wa Reli ya kisasa ya umeme yenye mwendo wa kasi ya kilomita 160 kwa saa (Km/h) maarufu kama Standard Gauge.

Tukio hili litafanyika katika Stesheni ya yumwa Mkoani Dodoma siku ya jumatano ya tarehe 14/03/2018 kuanzia saa 3:00 kamili Asubuhi na litaongozwa na Raisi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli.

Shirikia la Reli Limeandaa Usafiri wa Treni wa Kwenda na Kurudi kwenye uzinduzi huu utakaoanzia Stesheni ya Dodoma Mjini saa moja kamili Asubuhi bila ya gharama yeyote.

Subscribe youtube Channel yetu kwa kubofya hapa

Soma pia:  Kampuni kulipwa mafuta kujenga barabara

Comments

Comments are closed.

More in Top Stories