Top Stories

Sheria Mpya Iliyopitishwa baada ya Wanafunzi wengi Kupatwa na Ujauzito

0
Wanafunzi Kupatwa na Ujauzito
Ujauzito kwa mwanafunzi

Nchini Tanzania katika Wilaya ya Sengerema, Sheria mpya imepitishwa rasmi na Uongozi wa Kata ya Nyehuge.

Sheria hio mpya ni kuwachapa viboko 12 au faini ya shilingi 10,000 kwa wanaume wote watakaokutwa wamesimama na wanafunzi wa kike.

Hii ni baada ya kukithiri kwa tatizo la wanafunzi wa kata hio kukatisha masomo kwa sababu ya kubeba ujauzito.

Soma pia:  Kuvimba miguu kwa wajawazito

Comments

Comments are closed.

More in Top Stories