Top Stories

Fedha ya Urusi kupanda thamani

0
Fedha ya Urusi kupanda thamani
Fedha za Urusi

Thamani ya fedha ya Urusi ya ruble imetajwa kuwa itapanda kwa mwaka huu kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta.

Kubainika kwa kupanda kwa thamani hiyo kunatokana na ufuatiliaji wa uchumi uliofanywa na Taasisi ya Sera ya Uchumi ya Gaidar na Chuo cha Taifa cha Utawala na Uchumi.

“Kama bei ya mafuta ya sasa itaboreka kidogo, thamani ya ruble itapanda,”ilisema ripoti ya taasisi hizo za uchumi.

Soma pia:  Watu 17 wafa moto hotelini India

Comments

Comments are closed.

More in Top Stories