Michezo

Eden Hazard ni Mlevi wa Filamu

0
Eden Hazard ni Mlevi wa Filamu
Eden Hazard

Nyota wa timu ya soka ya Chelsea Eden Hazard ametoboa siri yake kuwa ni Mlevi wa Filamu.

Hazard amesema hayo wakati akihojiwa hivi karibuni kuwa anapenda kuangalia filamu hasa zinazoigizwa na wanawake.

“Mimi napenda kuona waigizaji wa kike, unajua wana mvuto na wengi wanaigiza vizuri kuliko wanaume,” alisema Mchezaji huyo.

Kauli hiyo ameitoa wakati akitoka kuangalia filamu na baadhi ya wachezaji wenzake wa Chelsea.

Nyota huyo alikuwa pamoja na Marcos Alonso na Cesc Fabregas wakiangalia filamu ya Russian Sports.

Soma pia:  Rihanna na Jay Z waibuka tena pamoja

Comments

Comments are closed.

More in Michezo