Michezo

Cristiano Ronaldo afikisha mabao 600

0
Ronaldo afikisha mabao 600
Cristiano Ronaldo

Mshambuliaji wa Juventus, Cristiano Ronaldo juzi amefikisha idadi ya mabao 600 tangu alipoanza kucheza soka.

Nyota huyo alifunga bao la 600 juzi timu yake ikitoka sare ya mabao 1-1 dhidi ya Inter Milan.

Ronaldo amefunga mabao 27 akiwa na Juventus, 5 akiwa na Sporting Lisbon, 118 akiwa na Manchester United na 450 alipokuwa Real Madrid.

Ronaldo afikisha mabao 600
Cristiano Ronaldo
Soma pia:  Dau la Pogba na Lukaku latajwa

Comments

Comments are closed.

More in Michezo