Top Stories

Winnie Mandela Kuzikwa leo

0
Winnie Mandela Kuzikwa leo
Winnie Mandela

Mke wa Mandela, Winnie Mandela, Alifariki dunia April 2, mwaka huu na atazikwa leo April 14, katika makaburi ya Fourways Memorial Park katika Mji wa Johennesburg.

Kiongozi wa Chama cha Orange Democratic Movement (ODM) Raila Odinga na Mke wake Aida Odinga, wameelekea nchini Afrika Kusini kwajili ya mazishi ya mama wa Taifa hilo, Winnie Mandela.

Odinga na mkewe waliondoka uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jana Asubuhi. Winnie, alikuwa rafiki wa karibu sana na familia ya Odinga.

Soma pia:  Museveni awalaumu wanasiasa Uganda

Comments

Comments are closed.

More in Top Stories