Top Stories

Tundu Lissu alivyowasili Brussels Ubelgiji

0
Tundu Lissu alivyowasili Brussels Ubelgiji
Mbunge Tundu Lissu mara baada ya kuwasili Ubelgiji

Mbunge wa Singida Mashariki, Mh.Tundu Lissu amewasili katika mji wa Brussels, nchini Ubelgiji akitokea mji wa Nairobi, nchini Kenya kwa ajili ya matibabu zaidi na mazoezi ya viungo.

Jana tarehe 6 januari 2018 aliondoka katika Hospitali ya Nairobi alikolazwa kwa takribani miezi minne (4) akipatiwa matibabu baada ya kushambuliwa na risasi akiwa nyumbani kwake mji wa Dodoma, nchini Tanzania.

Matibabu ya Tundu Lissu
Mbunge Tundu Lissu akipiga picha na madaktari wa Ubelgiji
Matibabu ya Tundu Lissu
Mbunge Tundu Lissu Alivyopokelewa na Madaktari wa Ubelgiji
Soma pia:  Vituo vya TV vimefungiwa baada ya kurusha Raila akila kiapo

Comments

Comments are closed.

More in Top Stories