Top Stories

Kingwangalla atoa notisi ya siku 30

  0
  Kingwangalla atoa notisi ya siku 30
  Waziri wa Utalii Nchini Tanzania, Dkt Hamisi A. Kingwangalla

  Last updated: June 27th, 2019.

  Waziri wa Utalii Nchini Tanzania, Dkt Hamisi A. Kingwangalla, Leo Januari 31, 2018  ametoa notisi ya siku 30 kwa watu wote waliovamia kiwanja Na. 4091, kuwasilisha nyaraka za umiliki, vibali vya ujenzi pamoja na barua inayoeleza kwanini majengo yao yasivunjwe kupisha uendelezaji wa mradi halali wa Tasisi ya Serekali.

  Kiwanja hicho chenye ukubwa wa hekta 20.215, kilichopo Njiro Mkoani Arusha, na chenye jina la Tanzania Tourist Couporation (TCC). kimevamiwa ambapo baadhi ya wavamizi tayari wameweka majengo ya kudumu.

  Kwa Taarifa Kamili Soma Barua iliotoka Wizara ya Maliasili na Utalii hapo chini;

  Kingwangalla atoa notisi ya siku 30
  Barua Kutoka Wizara ya Maliasilia na Utalii, Tanzania

  More in Top Stories