Top Stories

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Takukuru

  0
  Kassim Majaliwa ameiagiza Takukuru
  Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa

  Last updated: June 27th, 2019.

  Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa ameiamuru Tasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) mkoani mara kumkamata na kumhoji Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Musoma (MUWASA), Mhandisi Gantala Said kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha.

  Waziri Mkuu alifikia uamuzi huo jana Januari 19,2018, Akizungumza katika kikao maalumu cha kujadili changamoto za utekelezaji wa miradi ya maji Mkoani Mara.

  Aidha, Mkuu wa Mkoa wa Mara, Bw. Adam Malima, aliagiza kufungwa kwa ofisi za MUWASA na kuwataka wafanyakazi na mamlaka hiyo kutoruhusiwa kuingia ofisini hadi hapo uchunguzi utakapokamilika.

  Kassim Majaliwa ameiagiza Takukuru
  page 1
  Kassim Majaliwa ameiagiza Takukuru
  Page 2
  Soma pia:  Kifusi chaua Mgodini Kitunda

  More in Top Stories