Burudani

Gigy Money – Mimina (Official Music Video)

  0

  Last updated: April 9th, 2019.

  Gigy Money ni msanii wakike wa Bongo Fleva ambaye aliyepata umaarufu Mkubwa sana kupitia wimbo wake wa Nampa papa, wimbo huo ulifanya vizuri sana na ulipata airtime za kutosha katika media mbali mbali nchini Tanzania.

  Hivi sasa ameamua kutuletea ngoma yake mpya ukiwa pamoja na video, wimbo huo unaitwa Mimina.

  Soma pia:  Sala Sala - Godzilla (Song Lyrics/Mashairi)

  More in Burudani